Kiswahili hakifadhiliwi tena, kwa nini?

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 16:22 GMT

Media Player

Paul Nabiswa amezungumza na Profesa Ken Walibora mhadhiri wa chuo kikuu cha Winsconsin nchini Marekani kujua

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Katika miaka ya hapo nyuma kiswahili kilikuwa kinafunzwa katika kiasi kikubwa katika vyuo vikuu vya Marekani, na kuwa miongoni mwa lugha za kigeni ambazo zinapata ufadhili mkubwa wa serikali ya Marekani.

Hata hivyo kwa sasa kiswahili kimepata ushindani kutoka lugha ya kiarabu ambayo inafadhiliwa mno Marekani.

Paul Nabiswa amezungumza na Profesa Ken Walibora mhadhiri wa chuo kikuu cha Winsconsin nchini Marekani kujua nini ilifanyika kwa ufadhili wa Kiswahili.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.