Je haki za walemavu zimepuuzwa?

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 16:43 GMT

Media Player

Wanaharakati wanataka haki za walemavu zitambuliwa katika malengo ya millenia ya Umoja wa Mataifa.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Hannah Wanja Maina wa Kenya ni mwanaharakati anayeongoza kampeini ili haki za walemavu zitambuliwe katika malengo ya millenea ya Umoja wa Mataifa.

Hannah yuko London kuhudhuria mkutano wa kimataifa utakaojadili mikakati baada ya mwaka 2015 ambapo malengo ya milenia yanafikia kikomo.

Amezungumza na Salim Kikeke kuhusu kampeini yake na kwanza kuhusu umuhimu wa kuwatetea albino.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.