Waafrika wanaishi vipi China?

Imebadilishwa: 12 Novemba, 2012 - Saa 14:45 GMT

Media Player

Biashara kati ya China na Afrika inatarajiwa kukuwa zaidi.

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Baadaye wiki hii wajumbe wanaoshiriki katika mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti nchini China watawachagua viongozi wapya.

Uchaguzi huo utatoa nafasi kwa kizazi kipya kama ilivyo desturi kuongoza nchi hiyo ambayo ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani kwa kipindi cha miaka kumi.

Katika kipindi hicho biashara kati ya China na Afrika inatarajiwa kukuwa zaidi. Noel Mwakugu anafuatia matukio hayo akiwa huko China.

Leo yuko mjini Guangzhou ambapo ni makaazi ya waafrika wengi, je maisha yao yako vipi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.