Waafrika wanaoleta Dubai Nyumbani

Imebadilishwa: 28 Novemba, 2012 - Saa 09:26 GMT

Media Player

Waafrika wengi sasa wamehamia mjini Dubai kufanya kazi, na si hilo tu bali pia wanauza bidhaa za huko barani Afrika.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Maeneo kama Dubai, yameifanya Ghuba kuwa eneo la kibiashara . Wafanyabiashara kutoka Mashariki ya mbali na nchi za Magharibi hukutania hapa kwa biashara zao.

Kuingiza au kutoa hapa bidhaa kwa kutumia meli, kwa manufaa ya masoko katika nchi zinazostawi.

Na ni maendeleo na ustawi katika nchi zinazostawi ambayo yanachochea wafanyabiashara kwenda Dubai kama anavyosimulia Maryam Abdallah

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.