Ulinzi umeimarisha baada shambulio

Imebadilishwa: 24 Disemba, 2012 - Saa 17:18 GMT

Mashambulio mjini Nairobi

 • Maafisa wa polisi wakishika doria
  Maafisa wa polisi wakiuzingira chumba kimoja kilichoshambuliwa kwa gruneti mjini Nairobi.
 • Maafisa wa ujasusi waanza kazi
  Maafisa wa polisi na wale wa kupambana na Ugaidi wakifanya msako katika eneo moja lililoshambuliwa katika mtaa wa Eastleigh
 • Raia wakitizama polisi wakifanya uchunguzi kufuatia shambulio la bomu
  Polisi wakizuia watu kufika eleo ambalo lilishambuliwa kwa bomu mjini Nairobi
 • Polisi wa kitengo cha GSU wakishika doria
  Polisi wa kupambana na ghasia wakishika doria katika barabara za Nairobi kufuatia shambulio la bomu
 • Mfanya biashara wa mkototeni akisafirisha makaaa
  Raia wakiendelea na shughuli zao baada ya mlipuko wa bomu ila kwa tahadhari kubwa huku polisi wakishika doria
 • Mshukiwa wa machafuko ya Nairobi akamatwa na polisi
  Polisi wakimsjika mmoja wa watu walioshukiwa kuanzisha ghasia baada ya mlipuko katika mtaa wa Eastleigh mjini Nairobi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.