Muziki wa Tanzania wawika Ughaibuni

Imebadilishwa: 15 Januari, 2013 - Saa 12:17 GMT

Media Player

Muimbaji Barnaba anaelezea kwa nini leo watu wanazingatia nyimbo kuliko kufokafoka

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Mmoja wa wasanii wanaotikisa anga za muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki ni Barnaba, kutoka Tanzania.

Msanii huyu amevuma na kibao chake 'Nabembelezwa', amefanya ziara hapa London, na kutembelea studio zetu.

Moja ya masuala yanayoonekana kuuteka muziki wa sasa, ni uimbaji zaidi kuliko kufokafoka.

Je waimbaji wanakubalika zaidi. Barnaba amezungumza na Zuhura Yunus.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.