Changamoto ya elimu Sudan.K

Imebadilishwa: 17 Januari, 2013 - Saa 15:17 GMT

Media Player

Changamoto ni nyingi zinazowakabili wanafunzi lakini kutokana na ari ya kutaka kuipata na kufunza elimu wamekabiliana nazo.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Nchini Sudan Kusini, kando na changamoto za kisiasa na kiuchumi zinazolikumba taifa hili changa ,wanafunzi na waalimu pia nao wamejikuta katika hali mbaya upande wa elimu .

Changamoto ni nyingi zinazowakabili lakini kutokana na ari ya kutaka kupata na kufunza elimu wamekabiliana nazo.

Nyambura Wambugu ametembelea shule moja Sudan kusini na kututumia taarifa ifuatayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.