Obama aapishwa kwa muhula wa pili

Imebadilishwa: 22 Januari, 2013 - Saa 14:06 GMT

Obama aapishwa

 • Obama akiapishwa aliwaambia wamarekani kuwa huu ndio wakati wa kijiimarisha kama nchi hasa baada ya kukabiliana na changamoto kama za kiuchumi na afya
 • Obama na mkewe Michelle wakiwaamkua wananchi waliofika kumpongeza
 • Obama na makamu wake wa rais Joe Biden
 • Mamia walijitokeza ili wasikose fursa ya kushuhudia jambo la kihistoria la kuapishwa kwa rais mweusi mara ya pili
 • Wakati wa densi
 • Baada ya sherehe wageni walitumbuizwa lakini hapa Obama na mkewe walipata fursa ya kucheza densi na wanajeshi
 • Obama na mkewe waliandaliwa dhifa ya jioni baada ya shereh hizo
 • Wamarekani wa umzi zote walifika kumshangilia rais wao
 • Sasha na Malia Obama nao hawakuachwa nyuma wakati wa sherehe hizo
 • Ggwaride la jeshi
 • Beyonce alikuwepo pia kuwatumbuiza watu waliofika kumpongeza Obama

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.