Ndoto ya Afrika yawika Ghana

Imebadilishwa: 28 Januari, 2013 - Saa 14:31 GMT

Media Player

Soko kubwa la bidhaa za urembo nchini Ghana limempa njia ya kujikimu maishani.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Katika makala za BBC za Ndoto ya Afrika, Grace Amey-Obeng anaelezea maisha yake baada ya masomo nchini Uingereza miaka 25 iliyopita, namna alivyotambua kuna soko kubwa la bidhaa za urembo nchini Ghana. Sasa, hupata zaidi ya dola milioni kumi kila mwaka.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.