Huwezi kusikiliza tena

Ndoto ya Afrika iko Afrika Kusini

Kama sehemu ya vipindi vyetu kuhusu kuafikia ndoto ya Afrika, Shaheed Ebrahim anaambia BBC kuhusu safari aliyoichukua na ambayo ilimwezesha kushinda tuzo la mjasiri amali bora zaidi kwa wote katika shindano lililoandaliwa nchini Afrika Kusini.

Shaheed ambaye zamani alikuwa mfanyakazi wa benki, aliunda kampuni ya utalii ( Escape to the Cape,) ambayo hupanga safari kwa watalii kujionea mandhari ya mbugani na wanyamapori na ambayo ilikuja na teknololojia ya kipekee