Huwezi kusikiliza tena

Nilibakwa wakati wa ghasia 2007

Machafuko ya Uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya yaliathiri vibaya jamii, baadhi bado zinauguza vidonda vya dhuluma walizotendewa.

Kwa wanawake wawili wakaazi wa mtaa wa mabanda wa Kibera nchini humo hawatasahau yaliyowapata baada ya kupiga kura zao.

wako tayari kupiga tena kura licha ya dhulumza walizopitia?

Zainab Deen alizungumza nao, ni Zubeda na Fatuma.

Tumezuia majina yao halisi kwa sababu ya usalama wao.