Huwezi kusikiliza tena

Wanawake Somalia wafurahia barabarani

Wanawake nchini Somalia sasa wako huru na wanajivunia kuendesha magari takriban miaka miwili baada ya kuishi chini ya utawala wa Al Shabaab ambao walikuwa wantumia sheria kali. Maisha kwa wanawake mjini Mogadishu, yamebadilika kiasi cha kutotambulika. ingawa usawa bado haujaweza kupatikana sana.