Huwezi kusikiliza tena

Wakimbizi wa ndani Kenya wangali taabani

Athari za ghasia za baada ya uchaguzi mwaka 2007 zingali wazi nchini Kenya. Maelfu walifariki huku maelfu ya wengine wakiachwa bila makao. Serikali ya Kenya bado haijawapa makao mbadala wakimbizi, hao. Hii hapa taarifa ambayo inasimulia maisha ya wakimbizi hao wa ndani Kenya