Huwezi kusikiliza tena

Heka heka za uchaguzi Kenya

Wagombea wakuu ni Raila odinga na Uhuru Kenyatta.Lakini Kenyatta anagombea wakati akikabiliwa na kesi ya uhalifu wa kivita katika mahakama ya ICC. Je athari zake ni nini? Mwandishi wa BBC Ann Soy