Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi ulikuja na bei ghali ya chakula

Ilichukua siku tano kabla ya kujua mshindi wa uchaguzi wa Kenya na wengi walikuwa na hofu kuhusu kutokea tena kwa ghasia kama mwaka 2007 kwa hivyo wengi wakasalia makwao.

Maduka yalifunga bei ya vyakula nayo ikipanda. Je mjini Kisumu hali ilikua vipi? Ann Mawathe alikuwa huko