Huwezi kusikiliza tena

Ushindi umedhihirisha demokrasia Kenya

Rais mpya mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametaja ushindi wake kwenye uchaguzi wa Kenya kama ushindi kwa demokrasia na amani.

Baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi uliofanywa Jumatatu, kwa kupata asilimia hamsini nukta sufuri saba, Kenyatta alisema wapiga kura walizingatia sheria na kuahidi kushirikiana na wapinzani wake.

Hata hivyo mpinzani wake mkuu, Raila Odinga, aliahidi kupinga ushindi wa Kenyatta mahakamani. Alisema hatimaye demokrasia imedhihirika