Huwezi kusikiliza tena

Waiba matangazo kupitia mtandao

Wezi wakitumia Komputa za nyumbani 120,000 zilizofanyiwa udukizi wamekuwa wakiwapora wenye matangazo ya biashra Dola $ 6 milioni kila mwezi.