Huwezi kusikiliza tena

Tangazo la Kondom lazua balaa Kenya

Image caption Tangazo la Kondom Kenya

Wizara ya afya ya Kenya imeondoa tangazo lenye utata la kulipiwa kwenye runinga likihimiza matumizi ya mipira kwa watu wenye ndoa wanaofanya wapenzi nje ya ndoa zao.

Mkurugenzi mmoja wa mpango wa kupambana na virusi vya ukimwi nchini humo ametetea ujumbe huo unaangazia maisha yalivyo sasa. Lakini anavyoripoti Anne Soy jijini Nairobi, Wakenya wengi wamesema tangazo hilo halikufaa.