Huwezi kusikiliza tena

Wanaume wanasononeka zaidi kukosa watoto

Image caption Wanaume huumia zaidi wakikosa watoto ndoani

Utafiti mpya unaonyesha kuwa kiwango cha elimu kina uhusiano mkubwa na urefu wa binadamu. Ukiwa na elimu hafifu au ulitoroka shule ya msingi au hukwenda kabisa basi uko mashakani wakati wa uzee wako utakuwa umepungua urefu kwa sentimita 3 au zaidi.

Na jee unafahamu kuwa wanaume ndio wanaosononkea zaidi au kuhuzunika sana wakikosa watoto ukilinganisha na wanawake?

Mimi ni Odhiambo Joseph...