Huwezi kusikiliza tena

Chinua Achebe akumbukwe vipi?

Mmoja wa waandishi wa vitabu mashuhuri eneo la Afrika Mashariki ni Abdilatif Abdallah ambaye kwa sasa anaishi Hamurg Ujerumani, nimezungumza naye kuhusiana na anavyomtambua marehemu Chinua Achebe, na kwanza nilitaka kufahamu tungo zake zilikuwa na nini zilizompa umaarufu.