Huwezi kusikiliza tena

Thatcher na wanadiplomasia Afrika

Je mabalozi wa Afrika walikuwa wakipata matatizo kiasi gani wakati wa utawala wa Margareth Thatcher.

John Samuel Malecela alikuwa balozi wa Tanzania nchini Uingereza wakati huo.

Akizungumza na Salim Kikeke anaanza kwa kusema anamkumbuka vipi waziri huyo mkuu wa zamani.