Margaret Thatcher atakumbukwa vipi?

Margaret Thatcher atakumbukwa vipi?

Mwaliko umeanza kutolewa kwa zaidi ya watu elfu mbili watakaohudhuria mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Margaret Thatcher.

Hii ni pamoja na wale wote waliowahi kuwa mawaziri wakuu wa Uingereza na marais wa zamani wa Marekani. Mwakilishi wa Nelson Mandelapia pia amealikwa.

Na wale waliokuwa na uhusuano na Bi Thatcher wakati wa utawala wake, wamesema hawataweza kufika kwa sababu ya hali zao za kiafya. Je wengi wanamkumbuka vipi Thatcher?