Huwezi kusikiliza tena

Bongo yumo hatarini Kenya

Mustakabali wa mnyama ajulikanaye kama Bongo au Swara wa milimani unatishiwa sana.

Mnyama huyo huwindwa kwa sababu ya ngozi yake na sasa idadi yao imefika miamoja nchini Kenya

Anne Mawathe alitembelea msitu wa Mau Eburu katika mkoa wa kati nchini Kenya kujua kinachofanywa ili kulinda mnyama huyo