Huwezi kusikiliza tena

Je unamfahamu Flora Mbasha?

Kutoka katika michezo, tuangazie muziki sasa, hususan muziki wa injili. Moja ya msanii nyota wa miondoko hiyo kutoka Afrika Mashariki ni Flora Mbasha.

Msanii huyo alikuwa hapa London na Salim Kikeke alipata nafasi ya kuzungumza naye, kwanza kutaka kufahamu ugumu, au wepesi wa kuimba nyimbo hizo.