Huwezi kusikiliza tena

Sanaa mitaani Johannesburg

Utamaduni sio jambo la kwanza mbalo huja akilini watu nchini Afrika Kusini wanapozungumza kuhusu mtaa wa Diepsloot

Kama moja ya mitaa mikubwa ya mabanda mjini, Johannesburg mara kwa mara hudhaniwa kuwa moja ya sehemu ambazo zimeathirika na visa vya uhalifu wala sio mtaa wenye shughuli nyingi za kitamaduni.

Lakini hivi karibuni kumekuwa na mradi wa kuleta sanaa ya uchoraji kwenye mitaa na huenda ukabadili mambo kama anavyoelezea mmoja wa wale walioanzisha mradi huu Lucky Nkali