Huwezi kusikiliza tena

Je vipi Malaria itaangamizwa?

Kuna habari kuwa viini vya Malaria katika baadhi ya sehemu duniani vimeanza kuwa sugu. Tatizo hili limegunduliwa Cambodia lakini inaarifiwa kuwa pia Afrika linaenea wakati bara hilo ndilo moja ya maeneo yanayokabiliwa vikali na ugonjwa huo. Utafiti mwingi pia umefanyika mfano Kenya kuangalia nyenzo za kupambana na ugonjwa huo. Ann Soi ametuandalia taarifa hii.