Huwezi kusikiliza tena

Utata wa sheria Uingereza

Sheria ya kuruhusu ndoa za watu wa jinsia moja nchini Uingereza imefanikiwa kuvuka kiunzi muhimu baada ya Waziri Mkuu David Cameron kulazimika kuungana na upande wa upinzani, ili kuepuka wabunge wa chama chake kuweka vikwazo.

David Cameron amelazimika kuunganisha nguvu na chama cha Labour ili kurekebisha kipengele, ambacho wabunge wa Conservative walikuwa wakipinga.

Aboubakar Famau anasimulia