Huwezi kusikiliza tena

Je ni kweli Afrika ni bara maskini?

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Afrika, Dr. Salim Ahmed Salim anaufahamu vizuri sana umoja huo. Analitazama bara la Afrika kuwa si bara masikini kama inavyosemwa hasa kutokana na rasilimali ilizonazo. Aliyasema hayo alipozungumza na Hassan Mhelela.