Garissa kwa picha

Kipindi cha mjadala cha Sema Kenya kiliwaalika wananchi na viongozi kutoka kaunti ya Garissa ili kujadili swala la ukosefu wa usalama.

Eneo hilo limemekuwa likishuhudia mashambulizi ya kigaidi pamoja na matukio ya utekaji nyara haswa baada ya majeshi ya Kenya kuingia nchi jirani Somalia kukabiliana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab.