Huwezi kusikiliza tena

Onyo kwa wakwepa kodi duniani

Wiki hii Wanachama wa G8 walitoa onyo kwa makampuni ya kimataifa yanayokwepa kodi kuwa watasakwa hadi pembe za chaki. Ali Mutasa amekusanya taarifa za uchumi zilizogonga vyombo vya habari wiki hii