Huwezi kusikiliza tena

Morani wajitosa kwenye Kricket

Licha ya kukosa mavazi ya mazoezi, vijana wa MAASAI, nchini Kenya hawajakoma katika amza yao kutaka kucheza mchoezo wa krikrti. Wamevalia nguo zao za kitamaduni. Kikosi hiki kilibuniwa baada ya mkufunzi wa kujitolea wa kriketi kutoka Afrika Kusini, Aliya Bauer alianza kuwafunza vijana hawa mchezo huo wakati alipokuwa anafnya mradi wa kutunza mazingira.