Huwezi kusikiliza tena

Kupangisha nyumba Ghana ni kama ndoto

Sasa, labda uwe na bahati sana kwa kuwa ungali unaishi na wazazi wako, nina uhakika unaelewa matatizo ya kupata nyumba kwa bei nafuu yalivyo.

Ghana ni moja ya nchi ambazo zinakuwa kiuchumi kwa sababu ya rasilimali yake ya mafuta.

Lakini bei ya kupangisha nyumba ni ghali mno na imekuwa ikipanda sana kiasi cha watu wachache kuweza kumudu bei hiyo. Kwa watu wa kipato cha wastani, hiyo ni ndoto kama inavyosimulia familia hii inayoishi viungani mwa mji mkuu Accra