Huwezi kusikiliza tena

Uganda ya 2 kwa ufisadi Afrika Mashariki

Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Uwazi kuhusu ufisadi Transparency International inaonyesha kuwa Uganda inashika nafasi ya pili katika kanda ya Afrika Mashariki kwa rushwa.

Hata hivyo serikali ya nchi hiyo inapinga ikisema kigezo kilichotumiwa hakikutoa picha kamili.

Siraj Kalyango na ripoti hiyo