Huwezi kusikiliza tena

Kilio cha wacheza soka waisilamu England

Hivi Karibuni wachezaji waislamu katika ligi kuu ya England wekuwa wakihimiza umuhimu wa kutambuliwa na kuheshimiwa kwa taratibu za kidini. Zuhura Yunus na maelezo zaidi.