Huwezi kusikiliza tena

Mitindo ya Afrika yang'aa London

Maonyesho ya tatu ya mavazi ya Afrika yameanza hapa London. Madhumuni yake hasa ni kuonesha sekta ya mitindo ya Afrika kwa dunia.

Afrika Kusini, Nigeria na Ghana ndio nchi ambazo wabunifu wake wamekuwa wakionyesha umahiri Ulaya. Na bila shaka majina makubwa kama Ozwald Boateng kutoka Ghana na David Tlale wa Afrika Kusini huenda ukawa unayafahamu.

Je nini hasa kimejiri katika maonyesho ya mwaka huu. Salim Kikeke alihudhuria.