Huwezi kusikiliza tena

Ushindani wa China na India Afrika

India na China zimekuwa zikimulika bara la Afrika.

Na inapokuja kuhusu masuala ya uwekezaji, nchi hizo mbili zimekuwa zikichukua mitindo tofauti. China ina mfumo wa kushirikisha serikali, wakati India inaziachia kampuni binafsi kufanya hivyo. Lakini je, mkakati upi ni bora zaidi.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza anatazama nani ananufaika zaidi na juhudi za uwekezaji za India na China nchini Kenya.