Huwezi kusikiliza tena

62 wauawa na Al Shabaab Kenya

Wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua watu 62 katika shambulizi la kigaidi dhidi ya jumba la kifahari lenye maduka la Westgate mjini Nairobi. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa nje ya jengo hilo ambako wapiganaji wa Al Shabaab wamewateka nyara wananchi kadhaa