Huwezi kusikiliza tena

Magaidi walipovamia Kenya!

Ben Mulwa ni mmoja wa manusura wa shambulizi la kigaidi nchini Kenya na anasimulia yaliyomkumba kwani alijeruhiwa mguuni na tukio hilo litasalia daima akilini mwake. Salim Kikeke katika tembea tembea zake aliweza kujionea masaibu yaliyowakumba wengi, wakenya wakijionea kimasomaso maovu yaliyotekelezwa kwenye ardhi yao