Huwezi kusikiliza tena

Masaibu ya wakimbizi kambini Mali

Tangu makabiliano kati ya waasi na wanajeshi wa serikali, kuzuka Kaskazini mwa Mali mapema mwaka 2012, maelfu ya watu wamelazimika kutoroka makwao .

Nchini Mauritania pekee wakimbizi 70,000 wanaishi katika mazingira duni katika kambi ya refugees Mberra,katika jangwa la Mashariki linalopakana na Mali.

Na ingawa kulikuwa na makubaliano ya kusitisha vita tangu mwezi Juni , swali na kuaminiana ndilo limesalia kizungumkuti.