Huwezi kusikiliza tena

Wanavyocheza karata na kifo machimboni

Wanauita mwendo kasi kutafuta Dhahabu...njia haramu ya kupata dhahabu kutoka katika machimbo yaliyoachwa wazi na kamapuni za kuchimba madini nchini Afrika Kusini.

Kila siku maelfu ya wanaume kutoka nchi masikini , huenda ndani ya machimbo hayo kutafuta mabaki ya dhahabu au madini mengine. Lakini licha ya hatari ya kazi hiyo, wachimbaji hawaoni kama ni hoja