Huwezi kusikiliza tena

Imani ya watanzania yapungua kwa Rais

Nchini Tanzania utafiti unaonyesha kuwa wananchi wamepunguza imani yao kwa Rais na Bunge lao katika kipindi cha miaka miaka minne iliyopita.

Taasisi ya utafiti na vipimo vya ulinganifu inayofanya tafiti mbalimbali Barani Afrika- AFROBAROMETA, imesema hata hivyo kuwa watanzania bado wana imani kubwa na Mahakama nchini humo.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza anasimulia zaidi kutoka mjini Dar es Salaam.