Huwezi kusikiliza tena

Ukatili dhidi ya wanafunzi Tanzania

Nchini Tanzania baadhi ya Wanafunzi wa kike wanaoishi nje ya hosteli za shule wamekuwa wakipata matatizo ya kufanyiwa ukatili ikiwa ni pamoja na kubakwa hali hii inaripotiwa kuwaathiri kisaikojia na hata wengine kujitia kitanzi kuepuka aibu.

Mkoa wa Rukwa Kusini Magharibi mwa Tanzania ni moja ya maeneo yenye tatizo hilo. Mwandishi wa BBC Leonard Mubali alitembelea shule moja mkoani humo ambapo mwanafunzi wa kike alijiua baada ya kubakwa .

Naibu katibu mkuu wa chama cha waalimu nchini Tanzania Ezekiel Oluoch akikamilisha taarifa ya leonard Mubali