Huwezi kusikiliza tena

Mavazi na ajira kwa wanawake Afrika

Swala la mavazi na mitindo limetamba sana Afrika siku hizi, kila mtu akitaka kupendeza kwa kuwa tofauti na mwingine kwa mavazi.

Hizi nguo tunazovaa, jinsi ya kuchanganya rangi, zinazorandana na zisizorandana.

Mmoja wa waliofanikiwa ni Christine Mhando,mbunifu wa mavazi, anayefanya shughuli zake hapa Uingereza, asili yake ni Tanzania.

Tuanze na mimi, tahmini yako kuhusu nguo nilizovaa leo.