Amka na BBC

Amka na BBC ni kipindi cha nusu saa ambacho hukujia kila asubuhi saa kumi na mbili na saa moja saa za Afrika Mashariki. Ni mchanganyiko wa habari, mahojiano, makala, michezo na muziki