Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini Youtube haikumtuza mwafrika?

Wanamuziki wa Kenya wanakosolewa kutojua umuhimu na namna ya kutumia Youtube katika kujikuza kiusanii wakati muda ukiyoyoma kwa mitandao isiyotoza kitu.

Wiki jana Youtube imetoa tuzo za wanamuziki bora katika matumizi ya mtandao huo. Kwa nini hakuna mwanamuziki wa Afrika hasa Mkenya hakufana?