Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Kericho

Kaunti ya Kericho ni mojawapo wa maeneo yanayoongoza katika ukuzaji wa chai nchini Kenya. Huu mjadala uliangazia matatizo wanayopata wakulima wadogo wadogo wa chai kama vile barabara mbovu, na bei ya chai kushuka na kupanda kila mara.