Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa Rasilimali Kuu - Embu

Mjadala huu ulimulika upungufu wa umeme katika kaunti ya Embu, ilhali kaunti hii inazalisha kiwango cha juu zaidi cha umeme unaotumika nchini.