Huwezi kusikiliza tena

Ngono kwanza, dawa baadaye

Nchini Kenya watu milioni 1.5 wanaishi na virusi vya HIV na kila mwaka watu 100,000 huambukizwa upya.

Licha ya hali hii, makahaba wameamua kufanya ngono bila kinga na kumeza tembe za kupunguza makali ya HIV ili kupunguza tisho la kuambukizwa na HIV. Hatari iliyoje?

Zainab Deen alizungumza na makahaba wa mtaa wa Korogocho mjini Nairobi kujua wanavyohatarisha maisha yao.