Huwezi kusikiliza tena

Victor Moses ataibuka mshindi?

Victor Moses ni mchezaji mwenye umri wa miaka 22, ambaye kwa sasa anachezea klabu yake ya nne ya Liverpool baada ya kuhama kwa mkopo kutoka klabu ya Chelsea. Je ataibuka mshindi wa BBC wa tuzo ya mchezaji bora barani Afrika?