Mpenzi wa Sema Kenya

Image caption Ondiek Jakalang'o

Swali: Wakati ajali za barabarani zinaongezeka hapa Kenya, askari wa usalama barabarani wanawalaumu madereva, madereva wanalaumu polisi na barabara mbovu. Mpenzi wa Sema Kenya, kwako wewe, wa kulaumiwa ni nani?

Jibu lake Ondiek: “Kwanza ni idara ya uchukuzi wanatoa leseni kwa madereva ambao hawajahitimu. Pia polisi maana wanaruhusu gari mbovu kuwa barabarani, huku wakichukua rushwa.” Ondiek J Otieno Jakolanya